Mwanamuziki lyrics.
Mimi ni mwanamuziki ×2
Mimi sio msanii siwaektii, mimi sio msanii
Rafiki yangu shida zangu na tabu zangu wanangu wa kweli wamenikataa ×2 (dah)
Mungu anajua kama mchizi me najua
kama yeye ndo kila kitu hapa chini ya hili jua , siwezi kujisumbua kunyakua
napiga dua coz bado sijajua (bado sijajua)
nini kifuatacho hata kama kesho nikipofuka macho,
naheshimu kila rika ndio maana nakubalika, mpaka wasionijua wana-wish kunijua,
tangu primary naishi na masela,
nimetoka mbali ndoto zangu sio kumbwela,
ndo maana napambana kijana , forty five sina baya
nikiwasha kaya ita fire,
Am a singer boy ,
daima siwez kuflow ujinga boy,
lazima mungu ndo ananilinda boy ×2
lazimaaaa
nawakilisha machizi tukale wapi,
nyama ngumu sina roote za masaki ,
Pigo zangu za kiold-school ,
, pigo zangu kama tupac shakur.
Chukua tena toa ×8
Me sijaona cha okapi, oh machiziborn
Cha okapi ×8
Makofi matatu juu ×4
Izo , cha okapi ×2
Choma , choma , choma , choma choma, choma, choma , choma , choma , choma , choma
Am the best MC nakuja kama nabii na wanangu hawanipingi buzz buzz nyingi oh, flow kama chingyo ,
Kama sio shilingi nitashoboka hata kwa dollar , niko franco zaidi ya zolla aah ,
Rafiki yangu shida zangu na tabu zangu wanangu wa ukweli wamenikataa ×2,
mimi ni mwanamuziki, singojei kiki, nikishika mswaki, narusha mashabiki,
nina kipaji na ndio maana nasumbua, me ni MC hatari kila beat natoboa.
Mimi ni mwanamuziki, ×2
Siwaektii , mimi sio msanii.
?
Link EP: Kaje mc – Maisha Yetu??????
https://chankysupply.com/audio-kaje-mc-full-ep-maisha-yetu-download/