AUDIO | Akwiz – Kellash – Tafakari| DOWNLOAD
Seth Emmanuel Daniel (born 4 Jan) known professionally as Akwiz kellash is amazing Talented singer( Rapper&hiphop Artist) , Actor , Director and Songwriter from Tanzania-Daressalaam
TAFAKARI LYRICS”
Maisha ni safari ndefu
Njoo nikupe hii habari
Sogea kwa utulivu
Upate hii tafakari
Maisha ni safari ndefu
Njoo nikupe hii habari
Sogea kwa utulivu
Upate hii tafakari
Nilikua nothing kichwan sikua something
I sit down and think about it
Baby said that you’re my world
Baby you’re my everything
I need bright star to shine
Nitachoka mpaka nimalize hii safari
Njoo nikupe habari au muhtasari
Cheki ninavyomiliki pic kali
Wao wenywe washakubali
Kama mimi pia ni hatari
Siku zote uongo una chumvi sio sukari
Ukikuta sukari mbona hiyo ni hatari
Masela wakitupinga tunawapa shisha na sigara kali
Wakikataa nawaitia GAMBAP maaskari
Wee mchafu please kaa mbali
Mwenywe nipo kweny line nafosi
Kwenye kwiz gang hakuna wagosi
Please usifosi
Tufanane hatuwezi kua sare sare
Utabaki tu pale pale
Na washikaji wako wale wale
Please don’t worry worry
Nimetoka home nipo maskani
Kusaka money nasikia hazionekani
Kazi hazipatikani
Wachumba hawaonekani mtaani
Si mlitaka ushindani
Kipindi kile sijulikani
Sasa najulikana hamuwezi ushindani
Mnaona kama utani
Jinsi kellash studio inavyopaa juu angani
Mama anaita Akwiz
Pisi zinaita Akwiz
GAMBAP wanaita Akwiz
……….
No no no it’s not easy
Maisha magumu chunga usiwe mwizi
Struggle sana kwenye hii sanaa
Ukimbie njaa
Siku zinaenda hadi na masaa
Hii ni balaa unaleta mdhaa
Eti wanashangaa
Why siku hizi nang’aa
Dar kugumu usikate tamaa
………
Siku hizi noti nyingi na mwendo wa pati
Am so so sorry mbona sikupati
Ni wewe kipindi kile unanilia bati
Nafurahi kila wakati
Kati kati weka kati
Haunikamati hunipati
Kweli sipo top 20 ila nitafika on chart
……………
Through music nimepata riziki
Shida zinapotea baraka zinakuja kwa wingi
Naenda juu sijui chini nitakuja lini
Vipi mali sio yako why unanishika shati
Nashangaa alisema hanikubali
Mbona mfuasi tokea zamani
…………….
Mimi ndio trouble maker
Or you can call me dream maker
Mnacheka akati nishawateka
Mnafika mimi ndo nasepa
……………..
Street life is too hard haielezeki
Kibaya siku zote hakipendezeshi
Kipaji kama huna basi nenda jeshi
Unajikuta cake kumbe Half-cake
Cheki huyo akwiz alivyojiset
Ukibisha muulize Hxeth
Maisha ni safari ndefu
Njoo nikupe hii habari
Sogea kwa utulivu
Upate hii tafakari