
USHAURI KWAKO WEWE AMBAE UMEUMIZWA NA MAPENZI
USHAURI KWAKO WEWE AMBAE UMEUMIZWA NA MAPENZI USHAURI : Baadhi ya kauli unazopaswa kuziepuka unapokuwa umeumizwa na kujeruhiwa moyo wako. 1. Usiseme, βsitaoa/kuolewa tena β maana katika maisha ndoa inayo nafasi yake kukusaidia kutimiza ndoto za maisha yako, ndiyo maana mungu akasema βsi vyema mtu awe peke yake na wawili ni bora kulikoβ¦